Mashine ya kuangulia mayai

Mashine ya kuangulia mayai

Mashine automatic zote zinatumia umeme na mashine Bora za kuangulia mayai ni lazima zinatumia umeme au Solar hivyo hakuna tofauti kati ya mashine ya umeme na ya solar. Ila za mafuta ya taa au ges maana yake ni manualy make controler panel haiwez endeswa kwa mafuta au ges ila umeme tu
 
Evarost john.

Ingia ktk page ya MWAKALINGA GENERAL ENTERPRISES,FSCEBOOK,sisi ni wataalamu wa kuunda mashine aina zote za kutotoleshea mayai ya kuku.

Mashine za mafuta ya taa zipo,na zinatotolesha vizuri sana.kuna mamia ya watu wamenunua na wanazifurahia sana.karibu sana sisi ni kampuni ya uhakika tunaunda na mashine za umeme,manual,automatic nk.na hatching yake ni zaidi ya asilimia tisini.

Karibu sana.
0784413039

MGE.YOUR WAY TO SUCCESS
 
Baadhi ya mashine zinazoundwa na mge
 

Attachments

  • 1415905891448.jpg
    1415905891448.jpg
    69.2 KB · Views: 123
Hii ni mashine ya mafuta ya taa,mayai mia hamsini.
 

Attachments

  • 1415907002739.jpg
    1415907002739.jpg
    45.6 KB · Views: 113
Hizo ni baadhi tu ya mashine zetu,tembelea page ya kampuni facebook uone mashine na shughuli nyingine tunazozifanya.
 
Ndiyo tunaunda mashine za aina zotekuna picha za mashine za umeme nimeweka hapa tangu jana
 
Back
Top Bottom