Mashine ya kubangua karanga-inaitajika

Mashine ya kubangua karanga-inaitajika

Mabala21

Senior Member
Joined
Jul 24, 2021
Posts
139
Reaction score
89
Wadau salaamu!

Naomba muongozo wapi nitapata mashine ya mashine ya kubangua karanga ya umeme na isiyokata karanga wakati wa kupangua. Brand ipi inafaa na wapi nitapa kwa wanaojua. Asante sana.
 
Back
Top Bottom