M Mabala21 Senior Member Joined Jul 24, 2021 Posts 139 Reaction score 89 Dec 18, 2024 #1 Wadau salaamu! Naomba muongozo wapi nitapata mashine ya mashine ya kubangua karanga ya umeme na isiyokata karanga wakati wa kupangua. Brand ipi inafaa na wapi nitapa kwa wanaojua. Asante sana.
Wadau salaamu! Naomba muongozo wapi nitapata mashine ya mashine ya kubangua karanga ya umeme na isiyokata karanga wakati wa kupangua. Brand ipi inafaa na wapi nitapa kwa wanaojua. Asante sana.