INAUZWA Mashine ya kuchana mbao inauzwa 15hp Motor

INAUZWA Mashine ya kuchana mbao inauzwa 15hp Motor

Muju4

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2014
Posts
5,489
Reaction score
7,446
Habari zenu wanajukwaa,

Mashine ya kuchana mbao inauzwa ina motor ya 15hp ipo vizuri bei imepungua kwasasa ni (2.5M Fixed) ipo Mbezi Kifuru.(Mazungumzo yapo)

Ukinunua mashine umeme wa 3 phase (Meter yake) mazungumzo ya bei yapo.

Made in India ina piga kazi vizuri sana.

Karibuni sana.

Kwa mawasiliano piga +255755056504

N.B SOLD OUT
Update: leta 2.5M uchukue mashine.
1646283154058.png

1646283202907.png
 
Back
Top Bottom