lyenyi
JF-Expert Member
- Mar 4, 2020
- 2,651
- 7,299
Habari natafta mashine ya kuchongea thread za bomba, inayoishia inch nne. 4"
Unaweza nielekeza duka, au kama unayo waweza kuja pm.
Mfano wa hizo mashine ni hizo pichani
View attachment 1880649View attachment 1880650
Unaweza nielekeza duka, au kama unayo waweza kuja pm.
Mfano wa hizo mashine ni hizo pichani
View attachment 1880649View attachment 1880650