INAUZWA Mashine ya kuchongea thread za bomba za maji safi na taka

Kama upo Dar, nenda pale BNC ipo upande wa kushoto kuelekea njia ya cocakola ukitokea Mwenge mataa, baada ya kulipita ghorofa linaitwa Josam.. Wale jamaa wana almost kila aina ya vifaa, spana, mashines etc ambazo mafundi tunazihitaji
 
Bro ahsante, nitafanya hivyo
 
Kama upo Dar, nenda pale BNC ipo upande wa kushoto kuelekea njia ya cocakola ukitokea Mwenge mataa, baada ya kulipita ghorofa linaitwa Josam.. Wale jamaa wana almost kila aina ya vifaa, spana, mashines etc ambazo mafundi tunazihitaji
Kama una namba yao karibu nitumie pm
 
Dye inaanzia nusu nchi "hadi 4"k.koo ziko kibao bei ni 220000 hadi 300000 ila kuna za kawaida famba bei ni 150000 hadi 200000.
Naomba kama una namba za duka ambazo naweza ipata hata sahizi boss
Nitumie pm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…