INAUZWA Mashine ya Kufua na Kukausha Nguo 10kg Inauzwa

INAUZWA Mashine ya Kufua na Kukausha Nguo 10kg Inauzwa

Mr Why

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2019
Posts
2,235
Reaction score
4,252
Mashine ya Kufua na Kukausha nguo 10kg inauzwa bei chee. Acha kufua kwa kutumia mikono. Kazi hiyo ziachie mashine zifanye.

Bei 450K
Wasiliana na muuzaji: 0757669270
images (9) (2).jpeg
 
Inakausha kweli hiyo?


Jokes
450k huko Mkuranga natuma posa, nalipa mahari na napata hela ya nauli kurudi na mke wangu nyumbani ili akanifulie yeye mwenyewe.
Wewe ni bahili na mkoloni, yani mkeo umfulishe nguo amekuwa mashine😀
 
Punguza povu hizo machine zinafua na kukamua ukiwa mkweli kwenye biashara yako utafanikiwa Sana na hii bishara itauzika .
Ukweli gani, wanaocomment vibaya si vichaa tu, mimi niliyeandika ni mwehu sio,
 
Back
Top Bottom