Habar wanajukwaa hili,mimi ni mfugaji mdogo wa ng'ombe maziwa. Kutokana na changamoto ya malisho,ninauhitaji wa kuanza kutengeneza na kuhifidh malisho, lakini nimejaribu kuulizia hiki kifaa kwa hapa Bongo nikapata kampuni moja(hide name) ipo Arusha wanauza bei mbaya mno yani zaidi ya 2 millions.
Your browser is not able to display this video.
Cha ajabu mashine hiyohiyo tena Manual kwa Nairobi inauzwa Ksh.23,000 sawa na Tsh.490,000. usafiri hadi Dsm inagarim Tsh.120,000.
Kama kuna mdau anajua karakana zingine hapa bongo wanatengeneza anijulishe.
Habar wanajukwaa hili,mimi ni mfugaji mdogo wa ng'ombe maziwa. Kutokana na changamoto ya malisho,ninauhitaji wa kuanza kutengeneza na kuhifidh malisho,lakini nimejaribu kuulizia hiki kifaa kwa hapa Bongo nikapata kampuni moja(hide name) ipo Arusha wanauza bei mbaya mno yani zaidi ya 2 millions. Cha ajabu mashine hiyohiyo tena Manual kwa Nairobi inauzwa Ksh.23,000 sawa na Tsh.490,000. usafiri hadi Dsm inagarim Tsh.120,000.
Kama kuna mdau anajua karakana zingine hapa bongo wanatengeneza anijulishe.
Mkuu hii kitu ni rahisi, kama una muda mtafute fundi kaa nae chini nunua vifaa mbona inajengeka alternatively tengenea ya MBAO usitumie chuma, mimi mafundi wengi ni wababaisshaji vitu vingi najitengeneea mwenyewe tu,,, naenda you tube nasoma naunda mwenyewe