INAUZWA Mashine ya kukamua alizeti, nyonyo, nk inauzwa

INAUZWA Mashine ya kukamua alizeti, nyonyo, nk inauzwa

MJ18

Member
Joined
Jul 2, 2018
Posts
53
Reaction score
52
Habari wanaJamvi,

Nauza mashine yangu ya kukamua mbegu zenye mafuta. Ina uwezo wa kukamua alizeti, nyonyo, karanga, nk. Inatumia umeme wa 3 phase model ggzx-80.

Technical details za mashine zipo kwny picha hizi chini. Mashine ipo Goba Mpakani, DSM. Kwa maelezo zaidi nipigie 0684910695.

Bei ni 9m. Karibu tufanye biashara.

NB: Mashine bado ni mpya, changamoto za maisha zinafanya niiuze hata kabla ya kuitumia.
11-20060QF035.jpg
 
Back
Top Bottom