Mutensa
JF-Expert Member
- Feb 20, 2009
- 421
- 92
Wakubwa heshima mbele,
Naomba kujua mahali wanapokamua alizet hapa dar. Nafikiria kulima zao hili ukanda huu wa pwani lakini sijajipanga kununua mashine ya kukamua, hivyo ningenufaika kama mtu atanijuza wapi naweza kukamulia baada ya kuvuna.
Natangulia shukrani.