INAUZWA Mashine ya kukamua juisi ya miwa zinauzwa

INAUZWA Mashine ya kukamua juisi ya miwa zinauzwa

Kijana Mpole

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2016
Posts
235
Reaction score
212
Hello wana jamvi kama unataka kuongeza kipato chako nakukaribisha machine za kukamua juisi ya miwa inazipata kwetu

Sifa zake inakamua na kuchuja yenyewe ni machine kutoka China
Pia ulaji wa umeme ni mdogo sana
Gharama ya machine
1350000 tu nipigie kwa maelezo zaidi 0774150519
Napatikana kariakoo mtaa wa masasi na msimbazi

JamiiForums-1223068706.jpeg
JamiiForums1082032371.jpeg
 
Kamua juisi yako katika Hali ya usafi
 

Attachments

  • JamiiForums-167909199-1.jpeg
    JamiiForums-167909199-1.jpeg
    25.3 KB · Views: 9
Hiyo itanifaa sana. Maana muwa wangu una juisi ya kutosha na haujakamuliwa muda mrefu
Nikiona hiyo picha na jina huwa nahisi labda Balthazar ni member humu ama😀😀

Hivi juices zote ulizokamua kwenye videos 400+ still unazo zingine?(joke)
 
Kwa unaehitaji kifaa endapo machine yako kuna parts zinasumbua hilo tutakusaidia karibuni sana 0774150519
 
KWANI TANGAZO LIMELIPIWA?
Wewe ndie unapokea malipo, punguza ujuha.

Mtu anajitafuta hapa, hizo comment za hovyo huwa zinakua mbelembele huko sio mwanzo kabisa wa uzi kijana, makinika, Alaaa
 
Back
Top Bottom