Mashine ya kukamua mafuta ya alizeti inauzwa shilingi ngapi na wapi zinapatikana?

akoon

Member
Joined
Jan 24, 2021
Posts
63
Reaction score
48
Habari zenu waungwana,

Mashine ya kukamua mafuta ya alizeti inauzwa shilingi ngapi na wapi zinapatikana?
 
Bei za Machine zipo kutegemea na Mahitaji yako, nenda Sido utakidhi hitaji lako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…