0627518825 njoo nikupe msaadaNaomba kusaidiwa aina za machine,Bei na wauzaji wa mashine ya kukumua mafuta ya Alizeti
Nimeipenda hii.Naona bei ni kama 14m na mafuta yakitoka ni ready for using.Zile ndogo inabidi uchemshe tena mafuta.Wewe toa msaada hapa hapa
Inaitwaje hiyoNimeipenda hii.Naona bei ni kama 14m na mafuta yakitoka ni ready for using.Zile ndogo inabidi uchemshe tena mafuta.View attachment 1984378
Cjui jina lake lakini google sunflower machines zipo nyingiInaitwaje hiyo
Hii naweza iona wapi unapofanya kazi jamanNimeipenda hii.Naona bei ni kama 14m na mafuta yakitoka ni ready for using.Zile ndogo inabidi uchemshe tena mafuta.View attachment 1984378