Matanzia kizebazeba
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 654
- 630
Habarini wakuu ningependa kuuliza juu ya mashine bora ya kukamulia mafuta ua alizeti,
Ningependa kujua yafuatayo,
Aina zake,
Bei zake,
Na zinapoweza patikana mashine hzo
Jaribu vilevile kuwaona SIDO. Nimewahi kuona mashine zao za Kiwanda cha Shy. Utaweza kulinganisha wapi penye manufaa, ingawa ni rahisi kupata after-sale service and maintanance kutoka kwa Viwanda vya hapa nyumbani.
Mkuu mimi nilijaribu pia kufuatilia mashine hizi huko nchini India nilitumiwa proforma invoices za mashine tofauti. Try the following youtube link for further details: Naresh Gambhir - YouTube
Asante sana mkuu !!
Na je bei zao zinakuaje?