Video ya mashine ya kukamua maziwa inayojiendesha yenyewe tangu kumuandaa ng'ombe hadi kiasi cha maziwa yaliyokamuliwa hiko hapa SEKTA YA MIFUGO TANZANIA
Upo sahihi hata nchi kama Finland wanaotumia ni wachache sana kwasababu ya bei yeke kuwa kubwa sana na kwa Tanzania labda wenye mashamba makubwa ya ng'ombe wa maziwa na ng'ombe awe anatoa maziwa mengi.