INAUZWA Mashine ya kukamua miwa

ubuntuX

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2014
Posts
1,977
Reaction score
2,200
Habari,

Nauza Mashine mpya kabisa,ya kisasa kwa ajili ya kutengenezea juice ya miwa

Inachuja yenyewe

Inaweza kusaga mpaka miwa 300 kwa saa 1
750W
Inawarranty ya mwaka mzima
Bei: Tsh 1,300,000/ only
Call/whatsapp or 0788622610 whatsapp
Tupo kariakoo Dar es salaam
 
muuza Machine una ID ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…