INAUZWA Mashine ya kukamua miwa

Sorry jamani anaeweza kuniunga ule uzi wa mashine mbalimbali zinazouzwa tafadhali aniunganishe natafuta mashine ya kutengeneza pellets(punje) za chakula cha mifugo hasa kuku
 
Karibuni machine bado zipo
 
Ninaweza kununua hii mashine na Kama nitapata location ya kuiweka na kijana mwaminifu wa kufanya hizo shughuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…