Nahama mji,na kuhama nayo hii sitaweza,ni bora niuze nikatengeneze nyingine huko niendakoKwanini unauza?
Ok kumbe kuisafirisha ni kazi.Nahama mji,na kuhama nayo hii sitaweza,ni bora niuze nikatengeneze nyingine huko niendako
Huko uendako nakushauri ubuni biashara nyingine maana hizo juice za miwa ni maarufu kwa wanaume wa Dar tu, mikoani hatuna muda wa kukamuliwa juice tunakula miwa kama ilivyo.Nahama mji,na kuhama nayo hii sitaweza,ni bora niuze nikatengeneze nyingine huko niendako
mmh hii bei mkuu?!Mashine ya kukamulia juice ya miwa inauzwa ni ya umeme,ina roller mbili,ipo na kibanda chake kabisa,ni Tsh 2,000,000....bei inaongeleka,mashine ipo DAR ES SALAAM,SALASALA kwa mawasiliano 0693208482