Dj mat JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 747 Reaction score 475 Aug 3, 2019 #1 Habari za jioni Wadau! Naomba kufahamu ni wapi hapa Dar huduma ya kukamua na KUCHUJA mafuta ya Alizeti inapatikana. -Nilipokuwa nafanyia hiyo shughuli Siku za nyuma ,wamehamia mkoani. Thanks
Habari za jioni Wadau! Naomba kufahamu ni wapi hapa Dar huduma ya kukamua na KUCHUJA mafuta ya Alizeti inapatikana. -Nilipokuwa nafanyia hiyo shughuli Siku za nyuma ,wamehamia mkoani. Thanks