tisa desemba
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 434
- 115
Wadau naombeni msaada kwa yeyote anayejua zinapouzwa mashine za kukata aluminium na bei zake plz anijulishe. nahitaji kuipeleka mkoani. msaada plz.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kariakoo mataa wa kongo barabara ya uhuru upande wa kulia kama unaenda mnazi mmoja. Zunguka kwenye ile mitaa utaziona nyingi tu.
Wapi znapatkana c tatizo,maeneo yote ya gerezani ndio maduka yake ilimradi uwe na muda kdogo,ishu ni je uko familia na hizo mashine? La cvyo tegemea 'kanyanga'. kila lakheri