Hii mashine mpya dukani ni hadi Tsh 1.5 Million plus keep in mind za kichina mjini zipo ila most of them sio genuine baada ya muda unashangaa zinakufa motor, belts zinachomoka chomoka kitu ambacho kila ukileta fundi ni hela zinakutoka.
Mimi nitakupa namba ya fundi ambae hana tamaa kabisa na ikitokea una query unamcheck mnaelewana bei ana service mashine yako. Hana tamaa kabisa.
Cheap is Expensive Bro.
Mashine hyo ipo nyumbani kwetu. So Feel Safe about that Sir plus ninazo mbili.