Mashine ya kukata nyama hususani kwa matumizi ya buchani.

Rubani Kiongozi

New Member
Joined
Nov 17, 2018
Posts
2
Reaction score
0



Habari zenu wakuu wana wa JF

Mashine hiyo inaiwezo wa katakata nyama na kupasua mifupa kwa haraka na wepesi

Ni mashine inayo tumia umeme. Ninaiuza ikiwa haina obovu wa aina yoyote ile kwa Tsh 1400000 ikiwa complete.
Kwa mawasiliano zaid +255 785 408 631.

ASANTENI.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwa hyo ukiwa na hii hakuna haja ya kuwa na kigogo cha Muembe??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…