Blance93
Member
- Feb 24, 2022
- 17
- 12
Chainsaw aina ya Newtop inauzwa
Imetumika miezi mitatu,ipo katika hali nzuri kabisa haina tatizo lolote,nililinunua kwa ajili ya kuandaa shamba sasa nimemaliza sina uhitaji nayo tena ndo maana nimeamua kuiuza.
Mashine ni newtop 272 spea zinapatikana bila tatizo kwan zinaingiliana na Hus272
Output&speed:3.6kw/8000rpm
Chain pitch 3/8
Bei 750,000
Ipo Dar es salaam
Piga/whatsapp 0718512546