Mashine ya kukaushia dagaa

Mashine ya kukaushia dagaa

ankol

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
2,355
Reaction score
4,260
Habari ndugu zangu,

Ndoto yangu ni kumiliki hii mashine na kufungua kiwanda changu kidogo cha kukaushia dagaa kanda ya ziwa.

Nimeangalia ina kost $3,000 tu jumlisha na shipping cost kama $2,000. Mwenye ujuzi juu ya hii mashine naomba anipe muongozo nipembue mbivu na mbichi.

Karibuni.

1690886901696.png
 
Ngoja nipige kambi hapa maana kuna mdau nataka nishirikiane naye ila tutaanika kwa jua na hofu yangu ni wakati wa mvua itakuaje,, na kumbuka wakati wa mvua ndio dagaa wanakua wengi,, kwayio swala la kupata hii mashine haliepukiki,,
 
Ni technology nzuli lakini inakuwa na high operation cost, the best technology ni solar dryer Aina hii ambayo ni container type inatumia gas pia ni nzuli kwa samaki wakubwa wenye mnofu mkubwa kama Sangara sio dagaa ambao Wana very small skini pia muscle, pia inachukua volume ndogo ya mzigo, nitafute ntakupa madini
 
Back
Top Bottom