Ngoja nipige kambi hapa maana kuna mdau nataka nishirikiane naye ila tutaanika kwa jua na hofu yangu ni wakati wa mvua itakuaje,, na kumbuka wakati wa mvua ndio dagaa wanakua wengi,, kwayio swala la kupata hii mashine haliepukiki,,
Ni technology nzuli lakini inakuwa na high operation cost, the best technology ni solar dryer Aina hii ambayo ni container type inatumia gas pia ni nzuli kwa samaki wakubwa wenye mnofu mkubwa kama Sangara sio dagaa ambao Wana very small skini pia muscle, pia inachukua volume ndogo ya mzigo, nitafute ntakupa madini