Mashine ya kukumata wezi!!

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
25,190
Reaction score
27,434
Histori ya haya mashine.

Haya mashine yalizinduliwa mwaka 1890 huko taifa la Bulgari na kuanza kufanya kazi mwaka huohuo. Historia inasema yalipelekwa India kwa muda wa dakika kumi yalikamata wezi 1500.

Yakapelekwa China kwa muda wa dakika saba yakashika wezi 1789 Yakapelekwa Marekani kwa muda wa dakika ishirini yalishika wezi 1300
Yakapwleka Kenya kwa mhda wa dakika 25 yalishika wezi 3000
Yakapelekwa Uganda kwa muda wa dakika 15 yalishika wezi 1800
Burundi kwa muda wa nusu saa yakashika wezi 2000 Rwanda yalishika kwa Dakika kumi na Moha yalishika wezi 3000 yakaletwa Tanzania Mtaa wa Mongo kwa muda wa dakika 5 yale mashine yaliibiwa hadi sasa hayajulikani yako wapi.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Watanzania hatareee, walimuibia 50 CENT airport, walimuibia na SEAN PAUL , cjui watu wana viji-hirizi Vya wizi...
 
Kwa mawazo tu wabongo wataiiba hiyo mashine yenyewe kwa kuonyesha umahiri wao kwenye fani
 
Mwaka 1990 yaliibiwa hadi sasa hawajui yako wapi! Chezea bongo wewe[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Madam Jf haikosi wageni acha nao waburudike na hii kitu. Hii kitu imeshakuja hapa JF mara kadhaa hivi.
 
Hahahaa sasavtread itaibiwaje!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…