Ni kweli akipata Simple generator ya petrol itamsaidia sana, lakini Money Maker Pump atagombana na shemeji, kila siku ugomvi kwa kuwa kiuno kimechooooka kwa kupekecha pedeli!Ukienda kkoo kuna pump za petrol zipo kuanzia 300000 au pungufu za kichina kwa kuanzia sio mbaya
money maker pump unai operate manually, kwa kifupi unahitaji watu wawili...mmoja wa kui run mwingine wa kumwagilia!!! sio siri unatakiwa uwe umeshiba dona, na miguu iwe na nguvu!!!ufanisi wake ukoje
money maker pump unai operate manually, kwa kifupi unahitaji watu wawili...mmoja wa kui run mwingine wa kumwagilia!!! sio siri unatakiwa uwe umeshiba dona, na miguu iwe na nguvu!!!
Ila kuna option ya pump za solar (sina hakika, ila gharama zake zitakua juu kiasi flani)
Au nunua pump ya diesel/petrol nadhani hii itakufaa zaidi!!
Ni vyema ukawatafuta wauzaji, kwa kuwa ziko pampu za petrol dizaini nyingi na ufanisi wake upo tofauti kutegemea matashi ya mtengenezaji na mtumiaji. Kama upo Dar tembelea kariakoo au Indira Gandhi Street utakuta maduka yanayouza pampu.ok.. je hiyo pump ya petrol ina tija maana ni bustani kwa ajili ya biashara.. je gharama yake ya kuinunua na utumiaji wake wa mafuta ukoje?
Ni vyema ukawatafuta wauzaji, kwa kuwa ziko pampu za petrol dizaini nyingi na ufanisi wake upo tofauti kutegemea matashi ya mtengenezaji na mtumiaji. Kama upo Dar tembelea kariakoo au Indira Gandhi Street utakuta maduka yanayouza pampu.
Poa ila uwe na uangalifu katika ufanisi na uasilia wa pampu.ok.. nashkuru sana
According to specification Moneymaker pump has a maximum suction lift of 6.5 metres. Possible solution :then whats the best choice
je.. money maker inafaa kwa umbali huo?
Vp inafaa kwa kisima kirefu kiasi??Kama upo karibu na chanzo cha maji. Agiza mashine ya solar toka china. Max ni 700000 mpaka inafika. Solar panel yake ni 120w inatosha kumwagilizia zaidi ya ekar 4 kwa siku. Mimi ninayo moja natumia.
Zipo pia za kisima. Tanzania zipo ila wanaziuza bei sana yani ni zaidi ya m4 wakati nje unapata kwa USd 800Vp inafaa kwa kisima kirefu kiasi??