Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Lipo jamaa moja linadai limefunguliwa na TFF likidai kwenye eneo la usemaji halina mpinzqni, kwa hili la leo la Ahmed Ally Mashine ya kuongea, aaaah wana simba tumepata msemaji.
Huyu bwana kwanza anajua kujenga hoja jukwaani, iwe kwenye media iwe nje ya nchi.
Hatujawahi kumsikia Manara wala Ally Kamwe wakifanya interview na vyombo vya habari vya nje ya nchi Ahmed amehojiwa na chombo cha habari pale Misri na akamwaga sana ung'eng'e.
Manara na Kamwe hutawasikia hata siku moja wakiongea kiingereza, hii ina maana wao wanamtegemea sana Engineer Hersi aongee na media za nje.
MASHINE Ahmed Ally leo amejaza SGR sio kawaida.
Hii mashine ni habari nyingine. Big Up Bro.
Hutukani mtu, humdhalilishi mtu, humsemangi tu, we unapiga kwenye mshono tu.
Ubaya Ubwela ndio habari ya mjini leo.