INAUZWA Mashine ya kuoshea magari inauzwa (pressure washer)

INAUZWA Mashine ya kuoshea magari inauzwa (pressure washer)

MkamaShapu

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2013
Posts
317
Reaction score
169
Hii hapo chini

Ni aina ya BOSS

Bei yake

Tsh 350,000/=

Ipo complete

Ina matengenezo kidogo

IMG_0747.JPG
IMG_0748.JPG
 
Sema hayo matengenezo ni yapi.
Na yanagharimu bei gani?

Hapo mbele kwenye sehemu ya kusukumia maji vile vipira vimeungua Kwa hiyo utavibadilisha na kufunga nati zingine

Gharama za matengenezo hayawezi kuzidi elfu 30 au kama wewe mwenyewe ni mtundu basi unaweza kwenda kununua hivo vi valve na ukafunga mwenyewe
View attachment 723858View attachment 723859
 
Hapo mbele kwenye sehemu ya kusukumia maji vile vipira vimeungua Kwa hiyo utavibadilisha na kufunga nati zingine
Kwa vile ni matengenezo madogo tu kama usemavyo ya vipira na nut kwanini usingetengeza ili uuze kitu kizima? Nadhani hata thamani ingeongezeka.
Ni mtazamo tu mkuu, kila la heri katika uuzaji.
 
Kwa vile ni matengenezo madogo tu kama usemavyo ya vipira na nut kwanini usingetengeza ili uuze kitu kizima? Nadhani hata thamani ingeongezeka.
Ni mtazamo tu mkuu, kila la heri katika uuzaji.

Asante sana kwa ushauri wako na nitaufanyia kazi
Ubarikiwe kwa kunitoa gizani
 
I like it, hebu nikipata chimbo zuri mapema takucall.
Ila kama una site ulikuwa unapigia kazi na iko bado nichek tuongee biashara.
 
Back
Top Bottom