Mashine ya kupalilia imegoma kuwaka nahitaji msaada wa maelekezo

Kaka salama?
Kama upo Iringa ni PM ili Nikupe dili/tenda ya kufyeka/kukata majani kwenye Shamba langu la Parachichi.
Ni Eka 10.

#ASANTE
 
Nipo Kanda ya Ziwa ndugu yangu
Sorry bro! Je hiyo mashine inauwezo wa kulima /kupalilia inchi ngapi kwenda chini (udongo tifutifu)? Heka ngapi kwa siku? Na kwa wastani lita ngapi za mafuta kwa heka?
Kuuliza si ujinga
 
Ya 42cc inauzwa laki 5 tu bongo hapa si kanunue fyeka mwenyewe. Zipo za 52cc ila bei sijui ninavyoona mimi hizi sio heavy duty machine. Ninayo moja mpya nataka kupeleka shamba ila fyekeo la majani liko vizuri.
 
Machone ya 4 stroke haiwekwi oil kwenye mafuta,
Kuna manual imekuja na hiyo machine, isome au peleka machine na manual yake kwa mtaalamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…