mashine ya kupikia burger

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
88,759
Reaction score
123,368
mashine ya kupikia/kutengenezea burger inauzwa zipo kubwa na ndogo....zote zinatakiwa 1.9milion tsh.ziko hapa dar.kama ulikua na ndoto ya kuwa na goli la kuuza burger kama jamaa wa pale moroco fuel station...changamka uichukue mashine/jiko hizo uanze biashara hiyo kama una idea.natanguliza salam wana jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…