INAUZWA Mashine ya kupima battery ya gari (Car Battery Analyzer)

INAUZWA Mashine ya kupima battery ya gari (Car Battery Analyzer)

JituMirabaMinne

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2020
Posts
3,381
Reaction score
9,744
Hii mashine ni nzuri sana na sifa ya kipekee kuhusu hii mashine ni kwamba inakuwa reference table upande wa nyuma hivyo kumuwezesha mtu yoyote hata ambaye ni layman kuweza kupima battery yoyote na kujua kama ni nzima.

020231012_145751_lmc_8.4.NIGHT.jpg


Ina uwezo wa kuanalyse na yenyewe ikakuambia state of health ya hiyo battery (EXCELLENT, GOOD, AVERAGE, POOR OR REPLACE) Kama inavyoonekana kwenye picha hapo chini.

020231012_175431_lmc_8.4.NIGHT.jpg


Unaweza kuinunua kwa ajili ya matumizi binafsi au kwa ajili ya matumizi Garage,

Bei ni Tsh. 150,000/= tu karibu sana

0688 758 625/0621 221 606 nipo Dar, Sinza Kijiweni.
 
Back
Top Bottom