Mashine ya kupimia idadi ya uliotembea nao yagunduliwa

Tutauana jaman..ndo nini sasa hii…

Hiyo mashine lazima tuiendee Sumbawanga!haiwezekani
Yaani kabla ya kukutongoza nahakikisha nshakiweka kwenye mashine hii.. Nije nione YOUTONG imejaa
 
Noma sana hii kitu.

Eb nifanye mpango wa kuileta tz chap iwezekanavyo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumekuchaaa
 
Fursa hii,ngoja nijichange nianzishe Clinic ya vipimo,hii inaenda kupunguza mahari kabisa[emoji3]

Kama binadamu tumeweza hii,hapa ndio naanza kuamini Siku ya mwisho kila uchafu wa mtu utawekwa hadharani kabla ya kuputwa motoni
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mademu wa sinza wale akilishika tu linaanza kusoma akilivaa litaandika over range.
 
Huku ikiletwa,itapata ukinzani Mkubwa sana,watu watamuuliza mwanaume au mwanamke,'unampenda au humpendi?' kama unampenda kwanini hadi umpime....?hahahaaa!
Italeta noma kama suala la kuhack simu y mpenzi linavyokataliwa...
 
Kwahiyo hiyo article ndio imeandika hivo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…