Masikini ya Mungu watu wanamshambulia Glenn kwa mawazo yake na imefika mpaka hatua ya kudhani yeye ni njaa Kali kumbe wahenga walisema usilolijua sawa na usiku wa kiza .
Ijapokuwa naungana na yeye kusema hiyo hela hairudi kirahisi labda iwe hela isemwayo imeongezewa sifuri ila sio hiko kiasi .
Nb:Nakaribisha mabishano Ila yenye tija ukija vibaya mshale wa jicho utakuhusu