INAUZWA Mashine ya kuprint tshirt inauzwa ( heat press machine heavy duty), msimu wa kampeni muhimu sana

INAUZWA Mashine ya kuprint tshirt inauzwa ( heat press machine heavy duty), msimu wa kampeni muhimu sana

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
9,137
Reaction score
34,793
Habari wadau

Nauza mashine ya kuprint tshirt heat press machine heavy duty

Inatumika kuprint picha na maneno kwenye tshirt

Inafaa sana kuchapa tshirt za kampeni za wagombea.. na tshirt za kumbu kumbu ya msiba

Bei ya mashine ni shilingi milioni moja ( 1,000,000 )

Mashine ni heavy duty na size ya plate yake ni A-3 inaprint picha au logo kubwa kabisa bila shida

Manufacture anaitwa Adkins

Karibuni sana mnaohitaji kufanyia kazi

IMG_20160518_180151.jpg

Msimu wa kampeni huu ukiwa na connection na wagombea itakulipa sana maana soko la tshirt ni kubwa.
IMG_20160616_121900.jpg
enye picha ya wagombea

Ukihitaji piga simu 0692 275 229

Mashine ni brand new .. sealed kwenye box lake na accessory zake zote... ni heavy duty commercial heat press for tshirts and flat items...
 
Attachments

  • IMG_20160518_180126.jpg
    IMG_20160518_180126.jpg
    78.8 KB · Views: 16
We hutaki hilo soko?
We hutaki hizo hela za wagombea?

Ninayo biashara ya kuprint tshirt.. tazama instagram page inaitwa tshirt garage mabibo hostel.. biashara imejigawa sehemu nyingi.. hata kuuza mashine pia ni mojawapo ya biashara yangu.. kama unataka kuprintiwa tshirt pia karibu nikuhudumie..

Na kama unataka mashine pia karibu nikuhudumie.. na kama unataka mafunzo pia karibu nikuhudumie .. biashara haiwi sehemu moja tu... ndio maana azam anauza mkate na anakuuzia kingamuzi na anakupandisha boti zake kote huko anatafuta faida

Ama mo dewji.. hujui kama mo anauza boda boda za boxer.. mo anauza sanitizer, mo anauza juice na mo huyo huyo anauza matrekta..

Biashara za kisasa ni kuweka mayai vikapu tofauti...sio kikapu kimoja tu
 
Habari wadau

Nauza mashine ya kuprint tshirt heat press machine heavy duty

Inatumika kuprint picha na maneno kwenye tshirt

Inafaa sana kuchapa tshirt za kampeni za wagombea.. na tshirt za kumbu kumbu ya msiba

Bei ya mashine ni shilingi milioni moja ( 1,000,000 )

Mashine ni heavy duty na size ya plate yake ni A-3 inaprint picha au logo kubwa kabisa bila shida

Manufacture anaitwa Adkins

Karibuni sana mnaohitaji kufanyia kazi
View attachment 1530748
Msimu wa kampeni huu ukiwa na connection na wagombea itakulipa sana maana soko la tshirt ni kubwa zView attachment 1530749enye picha ya wagombea

Ukihitaji piga simu 0692 275 229

Mashine ni brand new .. sealed kwenye box lake na accessory zake zote... ni heavy duty commercial heat press for tshirts and flat items...
Accessories zake zote ni kama zip

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom