Wakuu habari za saa hizi?
Kuna mashine nimewahi kuziona zinachuja/kusafisha maji pamoja na kupooza kwa ajili ya kunywa majumbani. Mimi niliona shuleni miaka ya nyuma kidogo.
Naomba kujua kama kuna anaejua zinapouzwa kwa dar es salaam na bei yake.
Naomba kuwasilisha.