Mashine ya kusafisha maji kwa ajili ya kunywa

Daddi

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2017
Posts
890
Reaction score
1,395
Wakuu habari za saa hizi?

Kuna mashine nimewahi kuziona zinachuja/kusafisha maji pamoja na kupooza kwa ajili ya kunywa majumbani. Mimi niliona shuleni miaka ya nyuma kidogo.

Naomba kujua kama kuna anaejua zinapouzwa kwa dar es salaam na bei yake.

Naomba kuwasilisha.
 
Nunua lkn bakisha chenchi tukalipie ndege yetu SA
 
Ni kwa ajili ya kuchuja na kusafisha maji ya chumvi? Watafute jamaa wa Nabaki Afrika Ltd, Vulcan Tanzania Ltd au Pure Life Ltd watakusaidia tatizo lako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…