puker
JF-Expert Member
- Nov 22, 2018
- 1,001
- 2,010
Habari wana Jf.
Kama nilivyoeleza kwenye kichwa cha habari hapo juu, nauza mashine ya kusafishia taa za magari bei ni Tsh 150,000/= Haina tatizo lolote.
Uzuri wa hii mashine imefanyiwa modification haihitaji kutumia umeme, unatumia betri ya gari moja kwa moja.
Pia, ni mobile(Inabebeka) unaweza kufanya kazi popote. Kwa kawaida gari moja inasafishwa kwa Tsh30,000 -25,000 na chupa moja ya dawa inauzwa 35,000.
Na inauwezo wa kusafisha magari mpk 16 inategemea na ukubwa wa taa. Kiufupi kama unajua kujieleza vizuri na huduma bora unaweza kutengeneza mpk 100k per day ni jambo la kawaida.
Kwa mawasiliano zaidi:-0713549256