activemedia africa
Senior Member
- May 28, 2013
- 141
- 26
Habari,
Nina taka kuanza biashara ya kununua chupa za plastiki na kusisaga na kuziuza kwenye makampuni yanayohitaji hizo maligafi.
Naomba Mnisaidia naweza kupata wapi Mashine za kusaga hizo chupa za plastiki.
Shukrani