A activemedia africa Senior Member Joined May 28, 2013 Posts 141 Reaction score 26 Feb 19, 2014 #1 Habari, Nina taka kuanza biashara ya kununua chupa za plastiki na kusisaga na kuziuza kwenye makampuni yanayohitaji hizo maligafi. Naomba Mnisaidia naweza kupata wapi Mashine za kusaga hizo chupa za plastiki. Shukrani
Habari, Nina taka kuanza biashara ya kununua chupa za plastiki na kusisaga na kuziuza kwenye makampuni yanayohitaji hizo maligafi. Naomba Mnisaidia naweza kupata wapi Mashine za kusaga hizo chupa za plastiki. Shukrani
Chipukizi JF-Expert Member Joined Mar 12, 2009 Posts 4,409 Reaction score 6,773 Feb 19, 2014 #2 Ni Pm bajeti yako ya kununua hiyo mashine mkuu
A activemedia africa Senior Member Joined May 28, 2013 Posts 141 Reaction score 26 Feb 19, 2014 Thread starter #3 Chipukizi said: Ni Pm bajeti yako ya kununua hiyo mashine mkuu Click to expand... Mkuu wewe una zipi? na za sh ngapi? Bajeti yangu itategemeana na ukubwa na efficienzi ya Mashine yenyewe.
Chipukizi said: Ni Pm bajeti yako ya kununua hiyo mashine mkuu Click to expand... Mkuu wewe una zipi? na za sh ngapi? Bajeti yangu itategemeana na ukubwa na efficienzi ya Mashine yenyewe.
Chipukizi JF-Expert Member Joined Mar 12, 2009 Posts 4,409 Reaction score 6,773 Feb 20, 2014 #4 mkuu specs ndo hizo FOB price ni dola 2500.
A activemedia africa Senior Member Joined May 28, 2013 Posts 141 Reaction score 26 Feb 26, 2014 Thread starter #5 Chipukizi said: mkuu View attachment 140443specs ndo hizo FOB price ni dola 2500. Click to expand... Thanks.... Naweza kupata details zaidi kama: 1. CIF itakuwa bei gani, ama mpaka naifikisha hapa TZ itanigharimu sh ngapi? 2. We ni wakala ama nta deal na kmapuni ipi? unaweza kunipa link. 3. Guarantee ikoje? 4. Kuna aina hiyo hiyo moja tu? Kwa nini unadhani hiyo ndio aina nzuri. Natanguliza Shukrani
Chipukizi said: mkuu View attachment 140443specs ndo hizo FOB price ni dola 2500. Click to expand... Thanks.... Naweza kupata details zaidi kama: 1. CIF itakuwa bei gani, ama mpaka naifikisha hapa TZ itanigharimu sh ngapi? 2. We ni wakala ama nta deal na kmapuni ipi? unaweza kunipa link. 3. Guarantee ikoje? 4. Kuna aina hiyo hiyo moja tu? Kwa nini unadhani hiyo ndio aina nzuri. Natanguliza Shukrani