Tafuta wateja sehemu ambayo REA hawajafikaMashine ya kusaga onauzwa
mashine bado ipo kwenye hali nzuru kabisa , ina mwezi mmoja tangu itoke dukani
aina ya mashine ni YD , HP 20 , pia inatumika kuchania mbao au kumwagilia
mashine ipo Sengerema - Mwanza na bei ni M1.5
kwa mawasiliano zaid piga 0658 546818
View attachment 2136550
Inatumia umeme??