Gloriamagret
Member
- Jun 12, 2023
- 47
- 155
Mashine kubwa horse.power 50.ina.kini cha kusaga na kukoboa.ina sehemu kubwa ya kuhifadhi mahindi.ipo njiani sehemu yenye watu wengi.
Ipo DSM Kitunda magole stendi bei ya pango kwa mwezi 150,000.
Napokea kodi kuanzia miezi sita.
Utalipa kodi leseni na mapato TRA.
Inafanya biashara mpaka leo tatizo sina msimamizi makini na na mwaminifu.
Ina mashine ya kushona mifuko.
Mizani kubwa nk.
Nipigie tufanye biashara. 0754 279035