Gloriamagret
Member
- Jun 12, 2023
- 47
- 155
Ndugu kama ukibadili mawazo naukawa unauza naomba nitafute PM tufanye biasharaMashine kubwa horse.power 50.ina.kini cha kusaga na kukoboa.ina sehemu kubwa ya kuhifadhi mahindi.ipo njiani sehemu yenye watu wengi.ipo.DSM kitunda magole stendi bei ya.pango kwa mwezi 150.000.napokea kodi kuanzia miezi sita.utalipa kodi .leseni na mapato TRA.ina fanya.biashara mpaka leo.tatizo sina msimamizi makini na na mwaminifu.ina mashine ya kushona mifuko.mizani kubwa nk.nipigie tufanye biashara. 0754 279035
Jee mtu akihitaji kuchukuwa Kwa Mkataba wa miaka MITATU , Ila analipa Kodi ya miezi miwili miwili CV kupitia akaunti ya Banki, piya kuwe na kipengele kwenye mkataba ambacho kitatufunga wote wawili atakayevunja Mkataba.Siuzi.nakodisha tu.baada ya miaka nitaendesha mwenyewe kitaalam nikipata mudjee
Mkuu bado ipo hii kitu?Mashine kubwa horse.power 50.ina.kini cha kusaga na kukoboa.ina sehemu kubwa ya kuhifadhi mahindi.ipo njiani sehemu yenye watu wengi.
Ipo DSM Kitunda magole stendi bei ya pango kwa mwezi 150,000.
Napokea kodi kuanzia miezi sita.
Utalipa kodi leseni na mapato TRA.
Inafanya biashara mpaka leo tatizo sina msimamizi makini na na mwaminifu.
Ina mashine ya kushona mifuko.
Mizani kubwa nk.
Nipigie tufanye biashara. 0754 279035