Mashine ya kusaga, msaada wa kuifunga!

Mashine ya kusaga, msaada wa kuifunga!

Nyakageni

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2011
Posts
15,045
Reaction score
5,108
Wana JF, nina majukumu na sina uwezo wa kufunga mashine ya kusaga mahindi ingawa ninayo kwa anayeweza tusaidiane naye (partnership)! Nawasilisha!!
 
Toa information zaidi,unaifunga wapi maeneo gani musoma,Arusha au Dar,halafu eneo unalo?Jengo la kuweka mashine hiyo unalo,ni mashine ya kusaga tu au na kukoboa?eneo hilo lina wingi wa watu wa kutosha?mashine ya ukubwa gani?provide more details.
 
sina eneo kaka na ningependa kufunga kanda ya ziwa! Ni ya umeme na ina uwezo wa kufanya kazi masaa 20 kwa siku. Kusaga na kukoboa
 
Back
Top Bottom