INAUZWA Mashine ya kusaga na kukoboa inauzwa

hnp

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2020
Posts
276
Reaction score
474
Habari wana JF

Mashine ya kusaga na kukoboa mahindi inauzwa pamoja na vifaa vyake ikiwemo sehemu ilipofungiwa umeme wa three phase, maeneo ya Dar Es Salaam, Gongo la Mboto. Mashine ina miezi 10 toka inunuliwe, njoo na bei yako tuzungumze.

Risiti zake zipo.

IMG-20210602-WA0013.jpg
 
Nicheck pm kwa maelezo zaidi.
 
Andika vizuri mkuu, hakuna kifaa kinachoitwa "umeme wa three phase" bali tuna vifaa vinavyotumia umeme wa three phase.
Soma vizuri mkuu, sijaandika kuna kifaa cha umeme wa three phase bali nauza mashine pamoja na vifaa vyake na umeme wa three phase. Huoni utofaut?
 
Bado unachanganya mkuu, naomba andiko lako lisomeke "vifaa vyote vya mashine vinatumia umeme wa three phase" ama lisomeke motor ya mashine ni three phase.

Ila ukiandika "nauza mashine pamoja na vifaa vyake 'na' umeme wa three phase" inamaanisha na huo umeme ni kifaa. Shida yangu kubwa ipo hapo kwenye neno "na", na kwenye mashine tuna starter na motor hivyo nakuomba uoneshe kuwa vinatumia umeme wa three na siyo kwamba unaviuza , then unauza na umeme.

Hilo ndio wazo langu, lakini ujumbe wako umeeleweka vizuri, nimejaribu tu kuweka lugha ya kiufundi sawa.
 
Bado unachanganya mkuu, naomba andiko lako lisomeke "vifaa vyote vya mashine vinatumia umeme wa three phase" ama lisomeke motor ya mashine ni three phase...
Sawa nashukuru
 
Soma vizuri mkuu, sijaandika kuna kifaa cha umeme wa three phase bali nauza mashine pamoja na vifaa vyake na umeme wa three phase. Huoni utofaut?
Tulia mkuu.
Bado hujaeleweka, huo umeme ni wa tanesco wewe unauuzaje?
Au unauza mashine na nyumba ulyofunga(install) hiyo mashine?

Ongea vizuri na wateja wako.
 
Nimerekebisha mkuu
 
Bado unachanganya mkuu, naomba andiko lako lisomeke "vifaa vyote vya mashine vinatumia umeme wa three phase" ama lisomeke motor ya mashine ni three phase.

Ila ukiandika "nauza mashine pamoja na vifaa vyake 'na' umeme wa three phase" inamaanisha na huo umeme ni kifaa. Shida yangu kubwa ipo hapo kwenye neno "na", na kwenye mashine tuna starter na motor hivyo nakuomba uoneshe kuwa vinatumia umeme wa three na siyo kwamba unaviuza , then unauza na umeme.

Hilo ndio wazo langu, lakini ujumbe wako umeeleweka vizuri, nimejaribu tu kuweka lugha ya kiufundi sawa.

Nunua Mashine mkuu.
Acha maneno mengi
 
  • Thanks
Reactions: hnp
Habari wana JF

Mashine ya kusaga na kukoboa mahindi inauzwa pamoja na vifaa vyake ikiwemo sehemu ilipofungiwa umeme wa three phase, maeneo ya Dar Es Salaam, Gongo la Mboto. Mashine ina miezi 10 toka inunuliwe, njoo na bei yako tuzungumze.

Risiti zake zipo.

View attachment 1806420
 
Back
Top Bottom