Soma vizuri mkuu, sijaandika kuna kifaa cha umeme wa three phase bali nauza mashine pamoja na vifaa vyake na umeme wa three phase. Huoni utofaut?Andika vizuri mkuu, hakuna kifaa kinachoitwa "umeme wa three phase" bali tuna vifaa vinavyotumia umeme wa three phase.
Bado unachanganya mkuu, naomba andiko lako lisomeke "vifaa vyote vya mashine vinatumia umeme wa three phase" ama lisomeke motor ya mashine ni three phase.Soma vizuri mkuu, sijaandika kuna kifaa cha umeme wa three phase bali nauza mashine pamoja na vifaa vyake na umeme wa three phase. Huoni utofaut?
Tulia mkuu.Soma vizuri mkuu, sijaandika kuna kifaa cha umeme wa three phase bali nauza mashine pamoja na vifaa vyake na umeme wa three phase. Huoni utofaut?
Bado unachanganya mkuu, naomba andiko lako lisomeke "vifaa vyote vya mashine vinatumia umeme wa three phase" ama lisomeke motor ya mashine ni three phase.
Ila ukiandika "nauza mashine pamoja na vifaa vyake 'na' umeme wa three phase" inamaanisha na huo umeme ni kifaa. Shida yangu kubwa ipo hapo kwenye neno "na", na kwenye mashine tuna starter na motor hivyo nakuomba uoneshe kuwa vinatumia umeme wa three na siyo kwamba unaviuza , then unauza na umeme.
Hilo ndio wazo langu, lakini ujumbe wako umeeleweka vizuri, nimejaribu tu kuweka lugha ya kiufundi sawa.
Habari wana JF
Mashine ya kusaga na kukoboa mahindi inauzwa pamoja na vifaa vyake ikiwemo sehemu ilipofungiwa umeme wa three phase, maeneo ya Dar Es Salaam, Gongo la Mboto. Mashine ina miezi 10 toka inunuliwe, njoo na bei yako tuzungumze.
Risiti zake zipo.
View attachment 1806420