Bado una ukosefu wa mda na usimamiz?Dah! Very cheap. Yaani atakaye nunua, anakua moja kwa moja Mkurugenzi na mmiliki halali wa kiwanda cha kusaga unga wa sembe!
Hii ilikua ni biashara niliyo itamani sana kuifanya katika maisha yangu. Ila ukosefu wa muda wa usimamizi, ulichangia kuniogopesha na hivyo mwisho wa siku nikaishia tu kubadili gia angani.
Yah! Narudi kazini saa 10 jioni, mapumziko ni Jmos na Jpili pekee. Likizo mpaka Disemba!Bado una ukosefu wa mda na usimamiz?
Huwez kumueka mkeo akawa anaisimamia au huna imani nae?Yah! Narudi kazini saa 10 jioni, mapumziko ni Jmos na Jpili pekee. Likizo mpaka Disemba!
Hii biashara inahitaji sana usimamizi lakini pia uwezo wa kusafiri kufuatilia malighafi maeneo tofauti yanako uzwa kwa bei nafuu ili kupata faida kubwa bila shaka.
UmenenaMkuu hebu tupia picha ya mashine yenyewe tuione
Hivi unauza mashine au unauza ungaKama kichwa kinavyojieleza hapo juu.
Mashine ipo Gongo la Mboto, Majohe, Dar Es Salaam. Bei ni Milioni 4 tu (Hii ni ofa ya mwisho haipungui zaidi ya hapo). Utapewa pamoja na vifaa vyake kama; mashine ya kufumia viroba,vifaa vya kusafishia mashine, chekecha la mahindi, pipa na pia ukiwemo mzani wa kupimia mizigo mpaka kg 300.
Inatumia Rolla 2 na HP ya 25.
Mawasiliano ni 0757 726 956.
View attachment 1924542
View attachment 1924912View attachment 1924915View attachment 1924917View attachment 1924916
Na ile hela ukalaDah! Very cheap. Yaani atakaye nunua, anakua moja kwa moja Mkurugenzi na mmiliki halali wa kiwanda cha kusaga unga wa sembe!
Hii ilikua ni biashara niliyo itamani sana kuifanya katika maisha yangu. Ila ukosefu wa muda wa usimamizi, ulichangia kuniogopesha na hivyo mwisho wa siku nikaishia tu kubadili gia angani.
Mi nimeona unga tuuMkuu hebu tupia picha ya mashine yenyewe tuione