Dah! Very cheap. Yaani atakaye nunua, anakua moja kwa moja Mkurugenzi na mmiliki halali wa kiwanda cha kusaga unga wa sembe!
Hii ilikua ni biashara niliyo itamani sana kuifanya katika maisha yangu. Ila ukosefu wa muda wa usimamizi, ulichangia kuniogopesha na hivyo mwisho wa siku nikaishia tu kubadili gia angani.