INAUZWA Mashine ya kusaga na kukoboa nafaka

billz949

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
311
Reaction score
72
nauza mashine ya kusaga na kukoboa nafaka aina ya deer kutoka India.
unauziwa mashine ikiwa na mota zake pamoja na control boxes na switches na waya za kutoka kwenye mota kwenda kwenye control boxes na switches
mota zake ni made in german na moja ni ya hp 50 na nyingine ni hp 30 na zote ni nzima ziko vizuri
bei ni mil 6
njoo 0763969066
sorry picha haziko vizuri sana kutokana na ziko kwenye storage na ufinyu wa nafasi

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…