Enny
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 962
- 130
Habari wana JF. Natafuta mashine ya kukoboa na kusaga inayotumia diesel kwani nataka kupeleka kijijini ambako umeme haupo na watu wanatembea umbali mrefu kwenda kupata huduma hiyo.
Mwenye idea ya hizi mashine naomba msaada ni aina gani ya mashine ndiyo inafaa zaidi ya zingine na bei zinaendaje?
Natanguliza shukrani zangu kwenu.
Mwenye idea ya hizi mashine naomba msaada ni aina gani ya mashine ndiyo inafaa zaidi ya zingine na bei zinaendaje?
Natanguliza shukrani zangu kwenu.